Friday, January 16, 2015

Top 10 Mchongoanos that will get you laughing

Share

Here are some funny 'Mchongoanos' for those who like to 'chongoana' with friends, online or wherever.

  1. Una kichwa kubwa ukisimama katikati ya post mbili, watu wanadhani ni transformer.
  2. Una macho red, ukiangalia nyanya sana, inaiva.
  3. Kwenu muko wengi, mbuyu wenu humwaga chai kwa mattress, alafu munambiwa munyonye.
  4. Una mdomo bigi, we hutafuna maembe kama njugu.
  5. Naskia uligongwa na gari ya Trust Condoms, badala kuskia uchungu, uka-mbao.
  6. Siku yako ya kwanza kubuy gazei uliweka cover.
  7. Baba yako anajua kuriendesha gari, lakini hajui kubebana.
  8. Kwenu nyi wengi, buda yako aki come, ye huwasalimia "my fellow Kenyans".
  9. Nyumba yenu ni ya matope, hadi waizi waki come wao husema, fungua ama tukojole.
  10. Nyumba yenu ni ya manyasi, hadi waizi wakicome, wao husema, fungua ama tulete mbuzi.