Here are some funny 'Mchongoanos' for those who like to 'chongoana' with friends, online or wherever.
- Una kichwa kubwa ukisimama katikati ya post mbili, watu wanadhani ni transformer.
- Una macho red, ukiangalia nyanya sana, inaiva.
- Kwenu muko wengi, mbuyu wenu humwaga chai kwa mattress, alafu munambiwa munyonye.
- Una mdomo bigi, we hutafuna maembe kama njugu.
- Naskia uligongwa na gari ya Trust Condoms, badala kuskia uchungu, uka-mbao.
- Siku yako ya kwanza kubuy gazei uliweka cover.
- Baba yako anajua kuriendesha gari, lakini hajui kubebana.
- Kwenu nyi wengi, buda yako aki come, ye huwasalimia "my fellow Kenyans".
- Nyumba yenu ni ya matope, hadi waizi waki come wao husema, fungua ama tukojole.
- Nyumba yenu ni ya manyasi, hadi waizi wakicome, wao husema, fungua ama tulete mbuzi.
0 comments:
Post a Comment